Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Judica Omari akiwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani iliyofanyika katika Uwanja wa Tangamano Jijini Tanga. Bi Judica amewataka wananchi kuwachana na ngono zembe na za jinsia moja .
Golf Area/Masiwani Road Tanga
Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga
Simu: 027 2642421
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz
Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.