Mkuu wa Mkoa waTanga Martine Shigela (katikati wenye kofia ya njano) akiwa kwenye ziara yake Bandari ya Tanga kushuhudia kutia nanga kwa meli kubwa Jijini Tanga,aliwataka sasa wafanyabiashara waonyeshe uzalengo kwa kutumia Bandari ya Tanga baadala ya kupeleka mizigo yao Bandari ya nchi jirani .
Golf Area/Masiwani Road Tanga
Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga
Simu: 027 2642421
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz
Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.