Timu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imechukua ubingwa wa mchezo wa mpira katika Mashindano ya SHIMUTA 2020 yaliyofanyika Jijini Tanga Mkoani Tanga. Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela amewashukuru wanamchezo wote kwa ujumla na kuongeza kuwa mwakani 2021 michezo ya SHIMUTA yafanyike tena Mkoani Tanga. PICHA: Mkuu wa Mkoa wa Tanga ShIgela akikabidhi Kombe la ushindi kwa Timu ya TRA Uwanjani Mkwakwani Jijini Tanga.
Golf Area/Masiwani Road Tanga
Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga
Simu: 027 2642421
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz
Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.