MKUU wa Mkoa wa Tanga, Mhe Balozi Dkt Batilda Burian (kulia) akiwa na Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Tanga, Hana Kibopile, leo Septemba 22,2025 ofisini kwake.
Viongozi hao wamejadili masuala ya kiutendaji na mikakati ya kuboresha huduma katika kiwanja hicho muhimu kwa maendeleo ya mkoa, hususan katika nyanja za uchumi, biashara na utalii.
Golf Area/Masiwani Road Tanga
Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga
Simu: 027 2642421
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz
Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.