BONDIA Abdallah Twaha amemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe Balozi Dkt Batilda Burian ofisini kwake leo Septemba 24,2025.
Bondia huyo alikuwa na makocha wake, Yahaya Chande na Ramadhan Msagati.Amesema lengo la ziara hiyo ni kujitambulisha kwa Mhe BaloziDktBatilda, na kumuaga kabla ya safari yake kuelekea nchini Urusi.
Bondia Twaha anatarajiwa kushiriki pambano muhimu la kimataifa kupigania nafasi ya juu katika viwango vya ubora vya mchezo wa masumbwi.Mhe Balozi Dkt.l Batilda Batilda, amempongeza bondia huyo kwa juhudi zake na kumtakia heri katika pambano hilo, huku akiahidi kutoa ushirikiano wa karibu ili kumwezesha kufanikisha malengo yake katika mchezo huo.
Golf Area/Masiwani Road Tanga
Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga
Simu: 027 2642421
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz
Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.