• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
Tanga Region
Tanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango na Uratibu
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Afya
      • Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Sheria
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Sehemu ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Pangani
    • Halmashauri ya Wilaya Mkinga
    • Halmashauri ya Wilaya Muheza
    • Halmashauri ya Jiji Tanga
    • Halmashauri ya Wilaya Korogwe
    • Halmashauri ya Mji Korogwe
    • Halmashauri ya Wilaya Handeni
    • Halmashauri ya Mji Handeni
    • Halmashauri ya Wilaya Kilindi
    • Halmashauri ya Wilaya Lushoto

MAAFISA BIASHARA TANGA WATEMBELEA KIWANDA CHA ANJARI

Imewekwa tarehe: October 3rd, 2025

MAAFISA Biashara na Uwekezaji kutoka halmashauri 11 za Mkoa wa Tanga, wametembelea kiwanda cha Anjari, kujifunza uzalishaji, mifumo ya biashara ya viwanda na kujadili fursa za ushirikiano kati ya sekta binafsi na Serikali.

Katika ziara hiyo iliyoongozwa na Afisa Biashara na Uwekezaji wa Mkoa, Peter Lyochi, maafisa hao walitembelea maeneo ya uzalishaji wa bidhaa mbalimbali, kupata maelezo ya kina kutoka kwa uongozi wa kiwanda kuhusu changamoto na mafanikio ya kiuchumi na kujadili namna halmashauri zinavyoweza kuweka mazingira wezeshi zaidi kwa wawekezaji.

Ziara hiyo ni sehemu ya mikakati ya Mkoa wa Tanga kuimarisha uchumi wa viwanda, kuvutia wawekezaji na kuboresha utoaji wa huduma kwa wafanyabiashara kupitia mafunzo ya vitendo na ushirikiano wa sekta za umma na binafsi.

Matangazo

  • TANGA REGION INVESTMENT GUIDE November 24, 2023
  • SENSA YA WATU NA MAKAZI MWAKA 2022 MKOA WA TANGA June 13, 2023
  • Angalia zote

Habari mpya

  • MZUMBE KUKUZA UJUZI UNAOKIDHI RASILIMALI ZA KIUCHUMI

    February 16, 2026
  • MWIGULU ASEMA: NINASAFISHA 'VICHAKA VYA UBADHIRIFU' WA MALI ZA UMMA

    February 15, 2026
  • AWESO, MHANDO WAPIGA MAGOTI KUOMBA BARABARA YA LAMI TANGA

    February 15, 2026
  • AWESO, MHANDO WAPIGA MAGOTI KUOMBA BARABARA YA LAMI TANGA

    February 15, 2026
  • Angalia zote

Video

KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA AKIONGOZA WATUMISHI WA MKOA HUO KUFANYA MAZOEZI YA PAMOJA KATIKA UWANJA WA MKWAKWANI KUITIKIA WITO WA MHE. MAKAMU WA RAIS
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

Tovuti zinazoendana

  • TAMISEMI
  • Kupata huduma za kiutumishi
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA)
  • Tovuti ya Serikali

Kifuatilia watazamaji duniani

world map hits counter

idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Mkoa wa Tanga

Wasiliana nasi

    Golf Area/Masiwani Road Tanga

    Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga

    Simu: 027 2642421

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz

Anuani zingine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.