Mkuu wa Wilaya ya Mkinga Kanali Maulid Surumbu (katikati kulia) akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tanga, akimkabidhi Afisa Kilimo wa Halmashauri ya Handeni Mji Alďegunda Matunda (kushoto), nyaraka ya Mpango àqwa dharura kukabiliana na uhaba wa Ukame kwa ajili ya utekelezaji katika Halmashauri hiyo, baada ya mafunzo ya siku mbili iliyoandaliwa na Taasisi ya Save the Children, Jijini Tanga. Kulia ni Mwakilishi wa MkurugenI Taasisi ya Save the Children Victor Minja.
Picha na Jamal Zuberi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
Golf Area/Masiwani Road Tanga
Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga
Simu: 027 2642421
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz
Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.