Ameyasema hayo wakati akifunga kikao kazi Cha Maafisa habari, Mawaailiano na Uhusiano Serikalini iliyofanyika kwa siku tano Jijini Tanga.
"Maafisa habari ndio kisemeo cha Serikali hivyo wanaweza kuwahabarisha watanzania wajue namna ya juhudi kubwa ya serikali katika kutekeleza miradi kimkakati.
Sambamba na hayo aliwahimiza kuwa mistari mbele kuwaelimisha wananchi kuhusu zoezi la anwani za makazi na kwamba kila nyumba inaingia katika mfumo wa anwani ya makazi.
Aliongeza kuwa Halmashauri 85 na mikoa minne ambayo kwa sasa haina Maafisa hao, atahakikisha lazima wanapatikana ili kuwarahisishia kazi serikali ya kueliimisha.
Picha zote na Ofisi ya Mkuu.wa Mkoa.wa Tanga.
Golf Area/Masiwani Road Tanga
Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga
Simu: 027 2642421
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz
Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.