• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
Tanga Region
Tanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango na Uratibu
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Afya
      • Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Sheria
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Sehemu ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Pangani
    • Halmashauri ya Wilaya Mkinga
    • Halmashauri ya Wilaya Muheza
    • Halmashauri ya Jiji Tanga
    • Halmashauri ya Wilaya Korogwe
    • Halmashauri ya Mji Korogwe
    • Halmashauri ya Wilaya Handeni
    • Halmashauri ya Mji Handeni
    • Halmashauri ya Wilaya Kilindi
    • Halmashauri ya Wilaya Lushoto

KISHINDO MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025 TANGA

Imewekwa tarehe: June 6th, 2025

Na Mashaka Mgeta, OMM TANGA

NI kishindo cha Mwenge wa Uhuru 2025 mkoani Tanga. Ndivyo inavyoweza kutafsiriwa, kutokana na ukubwa wa shamrashamra za mapokezi yake, ulipowasili mjini humo asubuhi ya leo Juni 6, 2025.

”Karibu Mwenge wetu, karibu Tanga....Tanzania tuilinde.” Hayo ni sehemu ya maneno ya baadhi ya maelfu ya wakazi wa Tanga waliojitokeza kuulaki Mwenge wa Uhuru ukitokea Dar es Salaam ulipokimbizwa umbali wa kilomita 357.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Albert Chamila, aliukabidhi Mwenge huo kwa Mkuu wa mkoa wa Tanga, Mhe Balozi Dkt Batilda Burian na kusema ukiwa mkoani kwake, ulitembelea miradi 36  yenye thamani ya takribani Shilingi bilioni 79.

Mhe Balozi Dkt Batilda, ameupokea Mwenge huo na kusema, kwa siku 11 za kuwepo kwako mkoani Tanga, utakimbizwa kwenye halmashauri 11 zilizopo katika wilaya nane za mkoa huo.

Mhe Balozi Dkt Burian amesema Mwenge wa Uhuru 2025 utatembelea miradi 75 yenye thmani ya Shilingi bilioni 28.6.

Baada ya mapokezi hayo, Mhe Balozi Dkt Batilda, aliusafirisha Mwenge wa Uhuru 2025 hadi  Shule ya Msingi Michungwani, alipoukabidhi kwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe Japhari Kubecha.

Makabidhiano ’yalifungua njia’ kwa Mwenge wa Uhuru 2025 kukimbizwa kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Handeni unapoendelea na ukaguzi, uwekaji jiwe la msingi ama ufunguaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Matangazo

  • TANGA REGION INVESTMENT GUIDE November 24, 2023
  • SENSA YA WATU NA MAKAZI MWAKA 2022 MKOA WA TANGA June 13, 2023
  • Angalia zote

Habari mpya

  • BALOZI BATILDA AHIMIZA UMOJA, MSHIKAMANO TANGA

    June 18, 2025
  • RAS TANGA 'AWASHUKIA' WATUMISHI WANAOISHI NJE YA VITUO VYA KAZI

    June 18, 2025
  • BILIONI 1.9 ZINAVYOIINGIZA TANGA KWENYE MALIPO YA KABLA YA MATUMIZI YA MAJI

    June 17, 2025
  • MWENGE WAONYA: MSIHARIBU MIUNDOMBINU, SERIKALI HAIJALALA

    June 17, 2025
  • Angalia zote

Video

KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA AKIONGOZA WATUMISHI WA MKOA HUO KUFANYA MAZOEZI YA PAMOJA KATIKA UWANJA WA MKWAKWANI KUITIKIA WITO WA MHE. MAKAMU WA RAIS
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

Tovuti zinazoendana

  • TAMISEMI
  • Kupata huduma za kiutumishi
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA)
  • Tovuti ya Serikali

Kifuatilia watazamaji duniani

world map hits counter

idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Mkoa wa Tanga

Wasiliana nasi

    Golf Area/Masiwani Road Tanga

    Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga

    Simu: 027 2642421

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz

Anuani zingine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.