
RC TANGA AMKABIDHI GARI MPYA MKUU WA WILAYA YA HANDENI
Posted on: July 12th, 2025
Na Emma Kigombe, OMM TANGA
MKUU wa Mkoa wa Tanga, Mhe Balozi Dkt Batilda Burian, leo Julai 12, 2025, amemkabidhi gari Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Mhe Salum Nyamwese, ikiwa ni gari la saba ...