Dira
Kuwa taasisi bora na yenye Utawala wa hali ya juu katika kuwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa kuboresha hali ya maisha ya wananchi na utoaji wa huduma kwa jamii.
Dhima
Kutoa huduma za ushauri wa kitaalamu kwa viwango na ubora wa hali ya juu kwa Halmashauri na wadau wengine kwa lengo la kukuza na kuboresha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa kuzingatia Sera, Sheria na Miongozo ya Serikali.
Majukumu
Golf Area/Masiwani Road Tanga
Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga
Simu: 027 2642421
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz
Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.