• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
Tanga Region
Tanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango na Uratibu
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Afya
      • Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Sheria
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Sehemu ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Pangani
    • Halmashauri ya Wilaya Mkinga
    • Halmashauri ya Wilaya Muheza
    • Halmashauri ya Jiji Tanga
    • Halmashauri ya Wilaya Korogwe
    • Halmashauri ya Mji Korogwe
    • Halmashauri ya Wilaya Handeni
    • Halmashauri ya Mji Handeni
    • Halmashauri ya Wilaya Kilindi
    • Halmashauri ya Wilaya Lushoto

MKUTANO WA TATU WA WADAU WA SEKTA YA MKONGE WAFANYIKA TANGA

Imewekwa tarehe: December 15th, 2022



Na Emma Kigombe , Tanga


Serikali Mkoani Tanga imesema kuwa jumla ya wakulima 2,346 wanaojishughulisha na Kilimo cha Mkonge na wanazalisha zaidi ya asilimia 50 ya uzalishaji wa zao hilo nchini, Wilaya ya Korogwe ikiongoza kwa uzalishaji kwa kuwa na mashamba 11 yanayofanya kazi.


Kati ya mashamba hayo, matano yapo chini ya Vyama vya Ushirika (AMCOS) na hii ni kwa mujibu wa matokeo ya zoezi la sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 ambapo kati ya idadi ya watu milioni 2.6 wa Mkoa wa Tanga, asilimia 90 wanajihusisha na shughuli za kilimo.


Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Omary Mgumba katika Mkutano wa Tatu wa Wadau wa Sekta ya Mkonge nchini uliofanyika Jijini Tanga.  


"AMCOS yenye jumla ya hekta 9,553.172 ambayo ni Magunga, Hale, Magima, Mwelya na Mgombezi, ambapo mashamba 6 yenye ukubwa wa hekta 18,447 yanamilikiwa na makampuni binafsi" alisistiza zaidi.


Naye Mwenyekiti wa Bodi ya Mkonge Marium Nkumbi aliishauri serikali kuona umuhimu wa kuongeza mashine za kisasa za kuchakata zao hilo kwa wakulima wadogo Ili waweze kuzalisha mkonge kwa wingi.


"Nia ya Serikali ni kuona zao hili linazalishwa kwa wingi na wakulima wadogo hivyo ni vema tukawasaidia katika pembejeo zenye ubora sambamba na utaalamu wa kilimo Ili kuongeza tija iliyokusudiwa" amesema Nkumbi.


Serikali imeweza kusambaza Miche ya Mbegu za Mkonge bure kwa Wakulima wadogo katika wilaya 16 hapa nchini ikiwa ni hatua ya kuongeza uzalishaji wa zao hilo kuelekea mwaka 2025.





Matangazo

  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KWA SHULE ZILIZOPO MKOA WA TANGA 2021 December 21, 2020
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI -FIRST SELECTION 2022 May 14, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI OFISI YA MKOA WA TANGA WATEMBELEA MBUGA YA MKOMAZI

    December 23, 2022
  • SERIKALI WILAYA YA KOROGWE YAMPONGEZA MH.SAMIA SULUHU HASSAN

    December 15, 2022
  • MKUTANO WA TATU WA WADAU WA SEKTA YA MKONGE WAFANYIKA TANGA

    December 15, 2022
  • HANDENI YAKAMILISHA MADARASA

    December 15, 2022
  • Angalia zote

Video

KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA AKIONGOZA WATUMISHI WA MKOA HUO KUFANYA MAZOEZI YA PAMOJA KATIKA UWANJA WA MKWAKWANI KUITIKIA WITO WA MHE. MAKAMU WA RAIS
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

Tovuti zinazoendana

  • TAMISEMI
  • Kupata huduma za kiutumishi
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA)
  • Tovuti ya Serikali

Kifuatilia watazamaji duniani

world map hits counter

idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Mkoa wa Tanga

Wasiliana nasi

    Golf Area/Masiwani Road Tanga

    Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga

    Simu: 027 2642421

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz

Anuani zingine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.