Katibu Tawala Mkoa wa Tanga Eng. Zena A. Said akiwa na wakulima wawili (Bi Tunu Salum na Bwana Jambia Mamoyo) kutoka Wilaya ya Mkinga wakitoka meza kuu kupokea mkono wa pongezi baada ya wakulima hao kutoa eneo lenye ukubwa wa ekari 8 bure kwa ajili ya kujenga Ghala la kuhifadhia Korosho. Tukio hilo limetokea tarehe 14/05/2017 siku ya pili ya Mkutano Mkuu wa Wadau wa Korosho uliofanyika mjini Dodoma. Bi Tunu Salum ametoa bure eneo lenye ukubwa wa ekari 3.5 na Bwana Jambia Mamoyo ametoa ekari 4.5
Golf Area/Masiwani Road Tanga
Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga
Simu: 027 2642421
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz
Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.