Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa anatarajiwa kuanzia tarehe 1- 6 Marchi 2020 kuwa na ziara ya kikazi Mkoani Tanga. Pamoja na kusikiliza kero za wananchi, pia atapokea Taarifa Maalum ya Ubadhilifu wa mali zilizokuwa za Mamlaka na Bodi ya Mkonge. Taarifa toka OMM Tanga,
Golf Area/Masiwani Road Tanga
Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga
Simu: 027 2642421
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz
Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.