Waziri wa masuala ya maendeleo nchini Norway ametembelea bwawa na mtambo wa kuzalisha umeme Hale, kisha akatembelea baadhi ya wananchi wanaofaidika na mradi wa umeme katika maeneo ya Bagamoyo Korogwe TC ambapo alifungua mashine ya kusaga na ukumbi wa Burudani kwa wafaidika wa mradi wa REA. Norway ni wadau katika mradi huo wa REA.
Golf Area/Masiwani Road Tanga
Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga
Simu: 027 2642421
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz
Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.