Balozi wa Indonesia nchini Tri Jatmiko (kushoto) akifanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Omary Mgumba (kulia) alipomtembelea Ofisini kwake akiwa katika ziara ya siku moja Mkoani Tanga ambapo ameonyesha utayari wake kufanya biashara na Mkoa wa Tanga katika zao la karafuu na nazi. Aliyevaa kilemba (kulia) ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Pili Mnyema. Wa kwanza kutoka kushoto ni mwekezaji kutoka Indonesia, Feri Agustian.
Picha na Jamal Zuberi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
Golf Area/Masiwani Road Tanga
Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga
Simu: 027 2642421
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz
Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.