Mkuu wa Mkoa wa Tanga Omary Mgumba (Kushoto) akiwa na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe cha Morogoro Prof. William Mwegoha ( kulia) wakiangalia rasimu ya ramani ya eneo kwa ajili ya kujenga Tawi la Chuo hicho Mkoani Tanga.Ujenzi huo unagharamiwa na Benki ya Dunia kwa mkopo wa mashariti nafuu wa Tshs Bilioni 16. Katikati aliyevaa kilemba ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Bi. Pili Mnyema.
Picha zote na Jamal Zuberi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
Golf Area/Masiwani Road Tanga
Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga
Simu: 027 2642421
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz
Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.