
KISHINDO MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025 TANGA
Posted on: June 6th, 2025
Na Mashaka Mgeta, OMM TANGA
NI kishindo cha Mwenge wa Uhuru 2025 mkoani Tanga. Ndivyo inavyoweza kutafsiriwa, kutokana na ukubwa wa shamrashamra za mapokezi yake, ulipowasili mjini humo a...