Mtaalamu katika mambo ya itifaki kutoka Chuo cha Diplomasia Dar es Salaam, Rose Sanga akifurahia Bango la Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Sita mara baada ya kuwasilisha mada yake kuhusu itifaki na mawasiliano katika kikao kazi cha 17 cha Maofisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini Mei 10, 2022 uliyofanyika katika Ukumbi wa Regal Naevera Jijini Tanga.
Zaidi ya Maofisa 400 kutoka Mikoani, Halmashauri, Taasisi za Umma nchini wamehudhuria Kikao Kazi hicho.
Bango hilo bure linalotolewa BURE na Idara ya Habari MAELEZO.
Golf Area/Masiwani Road Tanga
Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga
Simu: 027 2642421
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz
Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.