Mkandarasi wa Kampuni ya STC inayotekeleza mradi mkubwa wa maji Mkinga- Horohoro Lawrence Nkya (kushoto) akiweka saini utekelezaji wa mradi huo wenye thamani ya zaidi ya Bilioni 35 na Mkurugenzi wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira Wizara ya Maji Joyce Msiru (kulia) kwenye hafla iliyofanyika mjini Mkinga mwishoni mwa wiki. Mradi huo ambao umeshuhudiwa na Waziri wa Maji Juma Aweso na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Omary Mgumba, utawanufaisha zaidi ya wananchi 68000 katika maeneo ya mradi huo Mkoani Tanga.
Picha na Jamal Zuberi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
Golf Area/Masiwani Road Tanga
Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga
Simu: 027 2642421
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz
Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.