• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
Tanga Region
Tanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango na Uratibu
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Afya
      • Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Sheria
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Sehemu ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Pangani
    • Halmashauri ya Wilaya Mkinga
    • Halmashauri ya Wilaya Muheza
    • Halmashauri ya Jiji Tanga
    • Halmashauri ya Wilaya Korogwe
    • Halmashauri ya Mji Korogwe
    • Halmashauri ya Wilaya Handeni
    • Halmashauri ya Mji Handeni
    • Halmashauri ya Wilaya Kilindi
    • Halmashauri ya Wilaya Lushoto

SERIKALI MKOANI TANGA YAHAIDI KUWEKA MAZINGIRA BORA KWA WAWEKEZAJI

Imewekwa tarehe: April 14th, 2023

Serikali Mkoani Tanga imesema itaendelea  kuhakikisha inaboresha na kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji ili waweze kufanya  shughuli zao kwa ufanisi kwa manufaa ya mkoa na Nchi kwa ujumla.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa mkoa wa Tanga Mhe. Waziri Kindamba wakati wa ziara yake ya kutembelea viwanda mbalimbali vikivyopo mkoani humo.

Kindamba amesema nia ya serikali ni kuona wawekezajj wanafanya shughuli zao pasipo kuwa  na vikwazo lakini pia wananchi wananufaika na uwepo viwanda hivyo kwa kupata ajira.

"Nia ya Serikali ni kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji kufanya shughuli zao bila ya usumbufu huku wakiendelea kulipa kodi kwa hiari na watu wetu kupata fursa za kuajiriwa" amesema Kindamba

Aidha Mkuu wa mkoa amesema kuwa kutokana na uwekezaji mkubwa  unaofanywa  na serikali kwa wawekezaji kwa mwaka 2022 wawekezaji waliweza kuchangia kwa kulipa kodi  na tozo kwa serikali  takribani shilingi Bilioni 12.

"Nimepitia ripoti zao mwaka jana tu ukichukua tozo mbalimbali  na kodi za serikali wamechangia uchumi wa nchi yetu  karibu Bilioni 12 huku wakitoa ajira za wastani takribani watu 1200" aliongeza Kindamba.

Pia Mhe. Kindamba amewatoa hofu wawekezaji hasa wa viwanda  kuhusu suala la umeme na kuahidi kuwa mpaka kufikia Julai Mosi tatizo la umeme mkoani Tanga itakuwa Historia.

Nae msaidizi mkuu idara ya fedha idara  kiwanda cha kuzalisha saruji cha Maweni limestone    Peter  Shuma amesema kuwa maboresho ya bandari ya Tanga  yamesaidia kurahisisha shughuli za usafiri wa saruji kwenda maeneo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi kwa urahisi.

Matangazo

  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KWA SHULE ZILIZOPO MKOA WA TANGA 2021 December 21, 2020
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI -FIRST SELECTION 2022 May 14, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • RC TANGA ATAKA MAENEO YENYE MIGOGORO YASIUZWE

    May 19, 2023
  • RC TANGA ATAKA MAENEO YENYE MIGOGORO YASIUZWE

    May 19, 2023
  • ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 171 KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI KOROGWE ,TANGA

    May 17, 2023
  • SERIKALI MKOANI TANGA YAHAIDI KUWEKA MAZINGIRA BORA KWA WAWEKEZAJI

    April 14, 2023
  • Angalia zote

Video

KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA AKIONGOZA WATUMISHI WA MKOA HUO KUFANYA MAZOEZI YA PAMOJA KATIKA UWANJA WA MKWAKWANI KUITIKIA WITO WA MHE. MAKAMU WA RAIS
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

Tovuti zinazoendana

  • TAMISEMI
  • Kupata huduma za kiutumishi
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA)
  • Tovuti ya Serikali

Kifuatilia watazamaji duniani

world map hits counter

idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Mkoa wa Tanga

Wasiliana nasi

    Golf Area/Masiwani Road Tanga

    Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga

    Simu: 027 2642421

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz

Anuani zingine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.