Mkuu wa Mkoa wa Tanga Omary Mgumba (kulia) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mkinga Kanali Maulid Surumbu (kushoto) wakikagua mali ya magendo ya vitenge 180 vilivyokamatwa maeneo katibu na mpakani Horohoro Wilayani humo, vikiwa vimepakiwa ndani ya magari aina ya Fuso, tayari kusafiriswa kwenda Dar es salaam.
Picha na Jamal Zuberi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
Golf Area/Masiwani Road Tanga
Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga
Simu: 027 2642421
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz
Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.