• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua pepe |
Tanga Region
Tanga Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za maji
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti ya Mkoa
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango na Uratibu
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Afya
      • Maji
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Usimamizi wa Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Sheria
  • Machapisho
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
    • Hotuba
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Sehemu ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya Pangani
    • Halmashauri ya Wilaya Mkinga
    • Halmashauri ya Wilaya Muheza
    • Halmashauri ya Jiji Tanga
    • Halmashauri ya Wilaya Korogwe
    • Halmashauri ya Mji Korogwe
    • Halmashauri ya Wilaya Handeni
    • Halmashauri ya Mji Handeni
    • Halmashauri ya Wilaya Kilindi
    • Halmashauri ya Wilaya Lushoto

WATUMISHI WA UMMA 20 WASIMAMISHWA KAZI

Imewekwa tarehe: December 15th, 2022






Serikali mkoani Tanga imeagiza Watumishi wa Umma 20 kusimamishwa kazi na kukamatwa na Polisi pamoja na wafanyabiashara 3 kukamatwa na Polisi kupisha uchunguzi katika sakata la vitenge kuungua kwenye ghala la Mamlaka ya Mapato Bandarini Tanga Octoba mwaka huu.


Watumishi wa Umma hao ni wa Mamlaka ya Mapato (TRA) (7), Mamlaka ya usimamizi wa bandari (TPA) (6), wafanyakazi wa Suma JKT (7), na wafanyabiashara(3) wa vitenge na samaki.


Agizo hilo amelitoa leo Mkuu wa Mkoa wa Tanga Omary Mgumba baada ya kupokea taarifa ya Kamati ya watu 10 iliyoongozwa na Mwenyekiti Sebastian Masanja ya uchunguzi wa tukio la moto uliotokea Oktoba 23 mwaka huu na kuteketeza ghala la TRA lililokuwa limehifadhi mali za magendo zilizomatwa Wilayani Mkinga


"Uchunguzi wa kamati yangu umebaini kuwa tukio la moto ulioteketeza ghala hilo ni hujuma hivyo lazima hatua za nidhamu na za kisheria zichukuliwe" alisisitiza Mkuu huyo


Awali akiwasilisha taarifa ya uchunguzi Mwenyekiti wa Kamati hiyo Sebastian Masanja amesema kutokana na hadidu rejea walitakiwa kufualia kama moto huo lilikuwa hujuma, ajali au bahati mbaya au ugaidi ambapo imeonekana tukio zima lilikuwa ni hujuma.


"Mawasiliano hayo ya simu za watuhumiwa, nyaraka, picha za mnato na maelezo ya wahojiwa yote yalepelekea kubaini kuwa ni kitendo cha hujuma" alifafanua zaidi.


Amesema uchunguzi umebaini moto huo haukuwa ni hitilafu ya umeme na hivyo imejiridhisha kuwa moto haukuwa ni hitilafu ya umeme kwa sababu siku hiyo haukukatika na zilikuwa voti 6.6 ya umeme hata Mamlaka ya hali ya hewa inasema hakukuwa na mgandamizo wa bidhaa na nyuzi joto  ilikuwa ya kawaida tu" amesema Masanja.







Matangazo

  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA KWA SHULE ZILIZOPO MKOA WA TANGA 2021 December 21, 2020
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI -FIRST SELECTION 2022 May 14, 2022
  • Angalia zote

Habari mpya

  • WATUMISHI OFISI YA MKOA WA TANGA WATEMBELEA MBUGA YA MKOMAZI

    December 23, 2022
  • SERIKALI WILAYA YA KOROGWE YAMPONGEZA MH.SAMIA SULUHU HASSAN

    December 15, 2022
  • MKUTANO WA TATU WA WADAU WA SEKTA YA MKONGE WAFANYIKA TANGA

    December 15, 2022
  • HANDENI YAKAMILISHA MADARASA

    December 15, 2022
  • Angalia zote

Video

KATIBU TAWALA MKOA WA TANGA AKIONGOZA WATUMISHI WA MKOA HUO KUFANYA MAZOEZI YA PAMOJA KATIKA UWANJA WA MKWAKWANI KUITIKIA WITO WA MHE. MAKAMU WA RAIS
Video zaidi

Viunganishi vya haraka

Tovuti zinazoendana

  • TAMISEMI
  • Kupata huduma za kiutumishi
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA)
  • Tovuti ya Serikali

Kifuatilia watazamaji duniani

world map hits counter

idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Mkoa wa Tanga

Wasiliana nasi

    Golf Area/Masiwani Road Tanga

    Anuani ya posta: P.O.Box 5095 Tanga

    Simu: 027 2642421

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras.tanga@tamisemi.go.tz

Anuani zingine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Maswali na Majibu
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki miliki ©2017 Katibu Tawala Mkoa wa Tanga . Haki zote zimehifadhiwa.